Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimeuona mpira wa Simba Leo, kiukweli japokuwa wameshinda bao 4 0 lakn mpira umepigwa mwingi sana, bao la kwanza alifunga Mosses Phiri, Mkude akaweka la 2, Kagere akaweka la 3 na Pape Sakho akamalizia la nne, wachezaji wote walipata nafasi za kucheza, yanga jiandae, hii Simba sio ya bongo tu, labda mkeshe kwa waganga huko Avic