Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kweli mkuuuNimeuona mpira wa Simba Leo, kiukweli japokuwa wameshinda bao 4 0 lakn mpira umepigwa mwingi sana, bao la kwanza alifunga Mosses Phiri, Mkude akaweka la 2, Kagere akaweka la 3 na Pape Sakho akamalizia la nne, wachezaji wote walipata nafasi za kucheza, yanga jiandae, hii Simba sio ya bongo tu, labda mkeshe kwa waganga huko Avic
Sita mkuu updates
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "mtunza vifaa wetu star "Si wanapenda [emoji2788]ku-bang!!!!
[emoji2788]Kumanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]
Kipo Avic town, daraja la 4.Hicho kitimu cha wapi na kipo daraja la ngapi?
Uongo hua unatabia ya kujiibuaHiv simba leo kacheza na al akhood au abo hamad hili ni jina moja tu maan naona ahmed ally kaandka kvyake na page ya smba wameandka kivyake
Kumbe mme enda kuiwekea kambi Yanga haya sawa sisi tupo Morogoro tunakula miwa tunawasubiri mtoke kwa firauniNimeuona mpira wa Simba Leo, kiukweli japokuwa wameshinda bao 4 0 lakn mpira umepigwa mwingi sana, bao la kwanza alifunga Mosses Phiri, Mkude akaweka la 2, Kagere akaweka la 3 na Pape Sakho akamalizia la nne, wachezaji wote walipata nafasi za kucheza, yanga jiandae, hii Simba sio ya bongo tu, labda mkeshe kwa waganga huko Avic