Kocha huajiliwa ili kutimuliwa.. Rafiki Mkubwa wa Dylan Kerr, Mtalaamu mwenzake Jose Mourinho alitimuliwa Real Madrid pamoja na kuipa mafanikio.. Hivyo kwa kocha kutimuliwa ni jambo la kawaida sana Mkuu.
Hebu weka mafanikio ya huyo Dylan Kerr katika timu alizopitia, manake kule south alitimuliwa bila kupata nafanikio yoyote, na kule Vietnam sidhani kama kuna kitu cha maana ambacho alikifanya kule.