Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Kaka VP rais wetu malinzi anaendeleaje kule gerezaniMkuu Sembo nafahamu muda wako wa kuwa eneo korofi kwasasa haujafika,nakutabiria ikifika Mwezi April Mwakani Simu yako itakata network.
wana chanzo gan cha mapato.. niambie kama sio poda babaathibitisha
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Hahahahaha nikikuona humu nachekaga sana una mbwembwe gunia.Mkuu, si kwa msimu huu.
Mmehurumiwa mnaanza kuleta nyodo uchwara!Kwa upande mwingine, Klabu ya Simba wamedai walipwe pesa ya nauli ya ndege waliyomlipia mchezaji huyo pindi wamemchukua ambapo Yanga wamekubali kuilipa pesa hiyo.
Yanga hatunaga tabu na pesa ndogo kama hizo kwani nini!!
hamna cha huruma hapoMmehurumiwa mnaanza kuleta nyodo uchwara!
Au mnataka kumrejesha tshishimbi kwao?
Hayo ni maoni yako tuwana chanzo gan cha mapato.. niambie kama sio poda babaa
Kwa upande mwingine, Klabu ya Simba wamedai walipwe pesa ya nauli ya ndege waliyomlipia mchezaji huyo pindi wamemchukua ambapo Yanga wamekubali kuilipa pesa hiyo.
Yanga hatunaga tabu na pesa ndogo kama hizo kwani nini!!
Kwl hizi kauli za maskini hatari ebu chukua nauli ya ndege au bus ya bakhresa then ww uende kwa mengi uone kama hautoirudisha iyo ndo heshima ya pesa bnaKwa upande mwingine, Klabu ya Simba wamedai walipwe pesa ya nauli ya ndege waliyomlipia mchezaji huyo pindi wamemchukua ambapo Yanga wamekubali kuilipa pesa hiyo.
Yanga hatunaga tabu na pesa ndogo kama hizo kwani nini!!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] shikamoo pesaKwl hizi kauli za maskini hatari ebu chukua nauli ya ndege au bus ya bakhresa then ww uende kwa mengi uone kama hautoirudisha iyo ndo heshima ya pesa bna
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najimunisaSimba bana, ni sheedar.
Walimsafirisha kwenye basi la Najimunisa halafu leo wanadai walimsafirisha kwa ndege.
hahhaha eti jahazi linazama, miaka ya karibuni simba huwa anaanza kwa mbwembwe ligi ikichanganya anakimbilia uswisi
Endelea kuishi kwa historiahahhaha eti jahazi linazama, miaka ya karibuni simba huwa anaanza kwa mbwembwe ligi ikichanganya anakimbilia uswisi
Usikariri kwamba huwa inaingia tu,kuna wakt hukwama,mawazo ya kizamanihahhaha eti jahazi linazama, miaka ya karibuni simba huwa anaanza kwa mbwembwe ligi ikichanganya anakimbilia uswisi
hivi sheria zinasemaji team inayoingia mkataba na mchezaji aliye katika mkataba na team nyingine naombwa kufahamishwa?
ccc@sembo
Ukweli viongozi wametumia busara sana. Hongereni viongozi wa simba ila ni vema ikawekwa adhabu kali kwa wenye tabia hiyo. Yanga walituumiza kwa kesi tukatumia busara leo wamekuja tena kwa huyu kijana. Hivi hawa kenge wakoje?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbuyu twite wakaja kwa Ngasa wakaja kwa kessy wamekuja kwa huyu roswita sijui buswita na kote inawakata.Hata mimi siwaelewi kabisa.
nimeuliza team sio mchezaji sheria zinasemaje kuhusu ilo la kuingia mkataba wakati mchezaji bado yupo ndani ya mkataba bila kuishirikisha team yake?Mkuu, ni kufungiwa tu, na ndiyo maana Buswita alifungiwa mwaka mmoja mara moja baada ya kubainika kosa lake. Lakini kwa kua pande zote mbili {Simba na Ndala} zilikaa na kila pande ikaridhika na maaamuzi {win win situation}, ndiyo maana kijana kafunguliwa toka korokoroni.