Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kutoridhishwa na kiwango cha papaa niang klabu ya simba imeamua kumteta msenegal mwingine abdalah ndow fundi na rafiki wa nyavu kufanya majaribio ili kuziba nafasi hiyo, Ndow aliwahi kucheza ulaya klabu ya bucharest. Source: salehjembe
Mkuu nimejaribu kuperuzi youtube nikakutana na clip moja ya mwaka 1993 ya Pape Abdoulah Nd'aw-. Nahisi ni wakati yuko Bucharest. Kama mwaka huo ndio alikuwa huko, sasa hivi miaka ishirini baadaye atakuwa na umri gani? Hebu Cheki hapa :
https://youtu.be/QwzeIbo6Pts
Hizi timu zetu zina vituko sana
Baada ya kutoridhishwa na kiwango cha papaa niang klabu ya simba imeamua kumteta msenegal mwingine abdalah ndow fundi na rafiki wa nyavu kufanya majaribio ili kuziba nafasi hiyo, Ndow aliwahi kucheza ulaya klabu ya bucharest. Source: salehjembe
Tehe he he!Niang=Ja Ma Mba.
Hivi usajili bado?
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Nd'aw ana miaka 21, i.e. Age (Pape Nd'aw) = Age (Uhuru Seleman), teh teh teh!
Sio timu zetu bana....Sema Simba wana vituko sana...
Na wamewafanya hata mashabiki wao kuwa mambumbumbu....Angalia jinsi walivowasifia Mavugo...Ndayisenga na huyu Niang...
Yanga na Azam hatuna huu ujinga...
Mikia balaa, Wanatoa Niang anaingia Nd'aw
Nafasi ya 5 inasubiri mwisho wa msimu.
Wakuu, data za mchezaji huyu hizi hapa :
Timu ya mwisho : Dynamo Bukarest
Wakala : Ievgen Zinchenko
Thamani yake euro 50,000
Msimu 2013 - 2014
Timu ilicheza mechi za ligi kuu 34
Pape alianza mechi mbili za kwanza
Mechi ya kwanza dakika alizocheza 75
Mechi ya pili dakika 78
Mechi mbili zilizofuata alianzia benchi ambapo alicheza dakika 19 na 25
Mechi ya tano alikaa benchi tu. Baada ya hapo hata benchi hakukaa tena.
Hakuwa na injury yoyote. Hakuwahi kufunga goli. Hakuwahi kutoa assist yoyote. Jumla ya dakika alizocheza ligi nzima ni 197.
Pia mechi ya 12 alikuwa on bench.
Mechi za kombe la ligi hakucheza wala kukaa benchi.
Hiyo ndio record ya Ndio, kutoka mtandao wa Pape Ndaw - Performance data - Transfermarkt