Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Kama kawaida kwa mechi zake timu hiyo kongwe imemalizana na Waamuzi wa mechi ya kesho. Waamuzi hao wameshalamba sehemu ya mlungula wao kuhakikisha timu inashinda ikiwemo kutoa penalti na kumtoa nje ya uwanja mchezaji wa timu pinzani kwa kadi nyekundu.
Wameangaika kuwarubuni baadhi ya wachezaji.
Wameangaika kuwarubuni baadhi ya wachezaji.