Simba yamfukuzisha kazi kocha wa Wydad Casablanca

Aache kudharaulika aliyetolewa hatua za awali za Champions League, aje adharauliwe Simba aliyeingia robo fainali?
Makolo wanadharaulika Sana , sema wao wanajiona walikufa kiume kumbe hata Wydad wenyewe wanajijua ni Tia maji Tia maji
 
Hongereni sana Simba kwa ilo swala. Hakika mnazidi kuupiga mwingi 😅
 
Hongereni sana Simba kwa ilo swala. Hakika mnazidi kuupiga mwingi kimataifa 😅
 

🤣🤣🤣🤣🤣 hawakubali kuwa wabovu, walinusurika kidogo sana mbwa wale, #Nguvu_Moja
 
Wapo sahihi kabisa. Simba mbovu ya wajinga wajinga, walozi walozi sio ya kumsumbua Wydad vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…