Simba yamnasa Kiungo wa CS Sfaxien Balla Conte Ijumaa, Julai 11, 2025

Huwezi kuelewa mkuu.
Inatakiwa akili kubwa.
Au uwepo kwenye mfumo.

Ningekuwa na Muda Ningekuandikia Zaidi ya Mambo 20 yaliyofanywa na simba kwenye mfumo wa mabadiliko ambayo yanga wamepita mule mule.
(Nikitoa muongozo wa BMT).
Tayari mkuu umeandika
 
Huwezi kuelewa mkuu.
Inatakiwa akili kubwa.
Au uwepo kwenye mfumo.

Ningekuwa na Muda Ningekuandikia Zaidi ya Mambo 20 yaliyofanywa na simba kwenye mfumo wa mabadiliko ambayo yanga wamepita mule mule.
(Nikitoa muongozo wa BMT).
Hakuna cha eti inatakiwa "uwepo kwenye mfumo"! Ni ama una mahaba tilatila au katiba na mifumo ya klabu moja wapo au zote mbili huifahamu!! Nasisitiza, mfumo wa Simba na Uto umetofautiana sana. Mfano mdogo tu; wao wakishaingia rasmi, katiba yao inataka wawekezaji wasiopungua 3 na wasiozidi 4 wakati kwetu mwekezaji mmoja tu! Mbaya zaidi kwa jinsi tulivyovurunda, Bodi ya Wakuregenzi ambayo ndiyo kila ina wajumbe wengi kutoka upande wa mwekezaji wakati ana 49% tu, Uto kwao Katiba yao inataka Bodi ya Wakuregenzi iwe na Wajumbe 9, na wawekezaji watakuwa na Wajumbe 4. Kwahiyo hata ukiangalia hayo macho tum utaona Klabu yetu imetekwa na Mwekezaji kwa sababu hata litakapokuja suala la maamuzi wa consensus, lazima upande wa Simba Sports Club Company Limited utashinda kwa sababu kuna wajumbe wengi! Kinyume chake, labda wafanye ujinga wenyewe lakini nguvu kubwa kwao ipo upande wa klabu.
 
Nimemsikiliza mo dewji na kujiridhisha pasi na shaka kwamba simba will never improve under his leadership
 
Hakuna wanachocopy otherwise Yanga ingekuwa underdog kwa Simba. Laliga na Sevilla sio Simba wale.
 
Huwezi kuelewa mkuu.
Inatakiwa akili kubwa.
Au uwepo kwenye mfumo.

Ningekuwa na Muda Ningekuandikia Zaidi ya Mambo 20 yaliyofanywa na simba kwenye mfumo wa mabadiliko ambayo yanga wamepita mule mule.
(Nikitoa muongozo wa BMT).
Hata kunywa supu Yanga wametuiga
 
Nimemsikiliza mo dewji na kujiridhisha pasi na shaka kwamba simba will never improve under his leadership
Improve kwenye angle ipi boss? Mwenyewe keshasema anachotaka unless unampima nje ya lengo lake.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA; 1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…