Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Ambae ana deal na creative content za simba safari hii yupo on 🔥🔥Karibu Simba SC, Alassane Kante.
Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori (piga 0900010000) au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
View attachment 3425154
Hawapo makiniMods ..., usajiri wa simba kwenye jukwaa la siasa wapi na wapi 🤷♀️
Peleka jukwaa la sports kule.
Tunasajili kwa mbwembwe mwakani tunaacha wote🤣Wakati wa tambo ndiyo huu kwa mashabiki wa simba. Halafu mwishoni mwa msimu utawashangaa tena wakimlaumu mwekezaji kwa kusajili wachezaji wa kawaida kuliko wale wa wapinzani wao Yanga!
Au labda hawapo kabisa?Hawapo makini