Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Jana nimehitimisha kwamba msemaji wa simba ni mwehu. Anasema simba wamenyang'anyana huyu mchezaji na timu kibao za Tunisia wakati kiukweli alikuwa free agent na amekaa kitaa muda mrefu hamna anae mtaka.
 
Amekaa kitaa kwa muda gani? Halafu wewe ambaye sio mwehu unafwatiliaje habari za wehu?
 
Mzimbabwe kashasaini msimbazi.
Mikimbio yake inanichekesha sana ni kama anataka kuanguka hivi
 
Sasa kama tunakubaliana kuwa Mzize ana 19, tunakataaje kuwa Onyango alikuwa na miaka 28 wakati anasajiliwa na Simba Sc?
Onyango the wonder Kid kwa hiyo sasa ana 30 aiseeee,ila hata Saido wakati tuna msajili alikuwa na miaka 22 ila na sikia siku hizi mmemuweka kundi la wazee
 
Onyango the wonder Kid kwa hiyo sasa ana 30 aiseeee,ila hata Saido wakati tuna msajili alikuwa na miaka 22 ila na sikia siku hizi mmemuweka kundi la wazee
Labda mtueleze wakati Saidoo anasajiliwa kwenu alikuwa na umri gani ili hesabu yetu ianzie hapo.
 
Kwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
Ameletwa kwa kazi maalum, vaeni tena misuli uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimehitimisha kwamba msemaji wa simba ni mwehu. Anasema simba wamenyang'anyana huyu mchezaji na timu kibao za Tunisia wakati kiukweli alikuwa free agent na amekaa kitaa muda mrefu hamna anae mtaka.
Cha kushangaa nn hapo free agent hagombewi na timu na zikanyang'anyana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…