nimeona maskauti wa yanga wanatafuta wachezaji matombo morogoroSimba ni ya kimataifa bwana,,
Vyura andaeni permpas za kuvaa msimu huu,,mtajambishwa mwanzo mwisho,
nimeona maskauti wa yanga wanatafuta wachezaji matombo morogoro
Mimi ni Simba ila You've made my goodamn day!nhahahahahAda ya uhamisho ni ticket za ndege
ππAda ya uhamisho ni ticket za ndege
[emoji23][emoji23]
Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba
Nimefuatila huyu straiker was South Africa anaeletwa na Simba kiukweli takwimu zake haziridhishi japokuwa Ni kinda want miaka 22 Huyu anaitwa Ryan Moon Ni straiker Kaizer Chiefs msimu uliopita ambapo Kaizer chips walikuwa na msimu mbaya zaidi kwenye historia ya Ligi ya South Africa alicheza...www.jamiiforums.com
Mbona mnatumia gharama kubwa hivyo, mbona kuna wachezaji wazuri tu home
Huyu jamaa alikua India sasa anakuja Africa (Tz). Inaonyesha ni kiwango cha kawaida tu. Kama ni bora angekua UlayaHahahaha, km ni kweli nakumbuka usajiri wa Jaja na Countinho pale Yanga
Ama kweli Simba imeamua mwaka huu
Huyo kaja kuvuta hela tu atacheza mechi za Dar vzr mikoani huko mmmh, ila huyu nae ni pendekezo la kocha?Huyu jamaa alikua India sasa anakuja Africa (Tz). Inaonyesha ni kiwango cha kawaida tu. Kama ni bora angekua Ulaya