Hizi ndio vitu vinawapa furaha na ushindi makolo miaka 2 hii. Hii itawavusha tena for another 3 months kisha mtatupiwa lingine mnalibeba mnashangiliaaaaaaa baada ya another 3 months uchaguzi umefika analetwa Manzoki anabadili upepo mnashangilia weeeeeeeee
Safi lakini, muhimu huwa ni furaha. Haijalishi furaha umeipata kwa kubeba kombe au kumfunga mtani goli 5 au kuletwa Robertino au kuletwa Manzoki kwenye kampeni za uchaguzi badala ya kusajiliwa