Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

Rekebisha kichwa cha habari, umeandika kama taarifa imethibitishwa kumbe tetesi.
 
Siyo kweli. Babra yupo Morocco kuandaa mazingira ya Simba kuweka kambi kujiandaa na Msimu mpya wa ligi Kuu na ligi ya Mabigwa Afrika.

Tetesi za uongo.
 
World class sio? Yaani Thimba isajiri kina Messi, Neyma au umesahau ulitaka kusema African top players
Hiyo emoji niliyoweka inaeleza kila kitu. World class nilifanya zihaka tu. Ndio maana nikamaliza na hii😁😁😂
 
Siyo kweli. Babra yupo Morocco kuandaa mazingira ya Simba kuweka kambi kujiandaa na Msimu mpya wa ligi Kuu na ligi ya Mabigwa Afrika.

Tetesi za uongo.
Hawa Wadosi wakitaka kufanya yao wanasingizia kuandaa mazingira ya kambi then baadaye yajayo yanakeresha.
 
Hatimaye chama kutua RS Berkane, kazi kwa Bwalya sasa kutengeneza ufalme Simba SC
 
Amepotea
 
Ngoja uje kutukanwa na mikia,wamevurugwa kila anaepita karibu nao anaambulia matusi hadi huku mitaani Shadeeya au sio 😀
Kweli kabisa Swahiba wamevurugwa mbaya.

Na ukiwaona wako busy kushangilia Yanga kufungwa au kutolewa mashindano fulani jua ndio wanapatamo faraja humo. 🤣🤣🤣
 

 
Vp taarifa ya Chama
 
Wameishamuuza kwa mujibu wa poti wako Magori leo hii akiongea na kituo kimoja cha redio
 
Unaonaje replacement iliyofanyika?
 
Angaikeni na zipompa pompa wenu. Where do you get guts to tell us how to manage team wakati you hv failed so many times.... 30 plus more players in 3 seasons... mkiaminisha watu kila mara u got new best ones wabebwe... then outcome zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…