Simba yanasa saini ya Saido Ntibazonkiza

Simba yanasa saini ya Saido Ntibazonkiza

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Saido Ntibazonkiza, raia wa Burundi aliyekuwa anachezea timu ya Geita Gold.

Mchezaji huyu amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na nusu kwenye klabu hiyo kubwa nchini inayopatikana mtaa wa Msimbazi.

E61B3C1E-BDF9-4884-9ECE-4A3DB5DBCD34.jpeg
 
Wazee wanaongezeka msimbazi, hii itakuja kuitwa klabu ya wazee kama baraza za kahawa tu.
 
Back
Top Bottom