KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Hii yaweza Kuwa habari mbaya kwa mashabiki wa simba na yanga lakini pia yaweza kuwa habari njema kwa timu pinzani kwa hawa watu.
hatihati ya Mayele kwenda Kwa Madima naona iko ukingoni kabisa ikiwa kabakia mwenyewe mhusika kuangusha wino, kwa dau lililopo hata mchezaji kubakia Yanga itakuwa uongo sana.
Sakho Pia hawezi kabisa kuendelea kubakia simba Msimu tunaouanza watu wameweka dau tayari mipango yakimaandishi haijafika asilimia zote lakini naona mipango kazi iko njema tayari.
Kuhusu Ubingwa naona Ngao ya jamii itaendelea kubakia tena jangwani, kwa vikombe viwili vilivyobakia ikiwemo cha ligi kuu.
Simuoni Simba wala Yanga Wala Azam kunyakua hizo ndoo,
Isipokuwa tu watu wasipofanya mambo yakupindua matokeo nje ya uwanja ila japo kuna mtihani mkubwa sana wakufeli juu ya hili jambo sababu ya mabadiriko ya upepo wakisoka.
Haya ni maoni yangu na utabiri wangu.
Nimekaa pale nakunywa kahawa kukiwa na chokochoko yoyote nitakuja isema pia