Simba & Yanga - ni mabingwa mara ngapi Tanzania?

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
kutokana kumbukumbu zilizopo kwenye Wikipedia, ubingwa wa Tanzania kati ya Simba na Yanga (ukiondoa huu wa mwaka 2015 wa Yanga) inaonyeshwa kama ifuatavyo:

1. Tanzania Bara

Simba bingwa mara 18 (hapa kuna makosa kwani wame-include mwaka 1972 wa Yanga, so ni mara 17)
Yanga bingwa mara 24

2. Muungano:

Simba bingwa mara 3
Yanga bingwa mara 4

Angalia hapa chini:

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Simba_S.C. & http://en.m.wikipedia.org/wiki/Young_Africans_S.C.

vyombo vya habari na wanamichezo wanatoa takwimu hii iliyokosewa ya Tanzania Bara ya Simba mataji 18 badala ya 17. this is a serious lack of attention to details.

TFF (presidaa Malinzi& co) mnapaswa kuweka sawa hizi kumbukumbu ili zisiendelee kupotoshwa.
 
Mbona unaweka makombe mawili tu? Kama unazungumzia rekodi ili utupe picha nzuri, inabidi uweke makombe yote, kama Tusker, Nyerere, CECAFA, Mapinduzi, ABC, na makombe mengine ya mbuzi, kuku, n.k
 
fungua hizo links utaona kila kitu humo.

kwenye huu uzi mimi nimeweka zile kumbukumbu za mataji muhimu tu. hayo mengine sijui ya mbuzi nawaachia ninyi wanazi wa Simba na Yanga!
 
Back
Top Bottom