Kwa nini tukae jukwa moja?kwanini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na tena kwasababu mechi inakaribia,patachimbika humu!!
kwa maneno Simba wana maneno ila kwa kandanda safi Yanga ndio mpango mzimangoja wakae tuone nani ana maneno zaidi ya mwenzie
Hata mimi nimeshangaa kuwaweka Yanga na hao jamaa pamoja, level ya Yanga ni Raja Casablanca,Tp Mazembe au Zamaleki, Simba na wenzao kina Mbao,Majimaji Mwadui.Wakimataifa hatukai na wamatopeni