Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Haya ndio baadhi ya aliyoyafanya Manji Jangwani
Mweneyekiti ndo aliependekeza kupandishwa kwa wachezaji pamoja na bench la ufundi iliosababisha kwa namna moja au nyingine kuleta mafanikio ya Yanga tunayoiona leo.
Mkataba katio ya TBL na Yanga umeexpire mwaka huu na hakuna hata Kampuni moja iliyojitokeza kwajili ya udhamini, kwa sababu hiyo, Manji akaiomba Kampuni ambayo alikua mwenyekiti kudhamini Yanga.
Kwa kuangalia yote ambayo Manji ameyafanya, inashangaza kwamba mtu anaweza simama akasema kwamba kuna dalili za rushwa wakati hata huko nyuma, Manji alifanya mambo yote kwa wazi. Sasa ufisadi ni kutoa au kuchukua hela? Na je Manji amekuwa akitoa au kuchukua hela Yanga?
Kwa mapenzi yake kwa klabu pamoja na mpira wa kitanzania, Manji amekua akichangia kwa kiasi kikubwa lakini leo watu ambao atujawai kuwasikia wakitoa lolote kwenye mpira wanapaza sauti na kuleta kashifa sizokuwa na ushaidi wowote. Wana yanga wenzanu pamoja na wapenzi wote wa mpira, tuwakatae watu wa haina hii.
Mafanikio tulioyapata ndani kipindi ambacho Manji amekua mwenyekiti sio yakuyabeza, tukifanya mchezo tunaweza rudi kule tulipotoka.
Sisi kama wanachama atuna Mashaka na mwenyekiti wetu, kama tungekua na mashaka basi July 2016 tusingemchagua kwa asimia 100 kuwa mwenyekiti.