Simba yangu

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Simba ndio timu bora hapa Tanzania kwa sasa na ndio timu ambao inamashabiki wengi hapa Tanzania na nje ya Tanzania na ndio timu ambao inawachezaji bora na wenye uwezo mkubwa.Hakuna mtanzania ambaye hajui kuwa simba ndio timu ambayo haina mpinzani hapa Tanzania na ndio maana upande Wa pili walishangilia sare juzijuz..kuna mapungufu kidg ktk timu wetu ya simba na kama yatafanyiwa kazi simba mwaka kesho itachukua ubingwa Wa Africa .
1.KOCHA,kocha Wa simba ni kocha bora sana lkn kuna kitu ambacho anafeli kidogo wakati wachezaji wake wapo uwanjani wanapambana unashinda kuwasoma wapinzani wake ambao tyr wamemsoma mfumo wake ndio maana simba tulifungwa na mbao na tukatoka droo na ndanda..kwahy kocha anatakiwa kuwosoma wapinzani na kuja na plan nyingine ambao inawenza ikafanya simba kupata matokeo maana anawachezaj Wa kila namna pale msimbaz,kocha mfaransa aliyepita mwaka Jana alikuwa ni bonge LA kocha maana alikuwa anauwezo mzur sana Wa kuwasoma wapinzani na kuamua kuja na mfumo mwingne,mecha ya mzunguko Wa pili mwaka Jana kati ya simba na lipuli uwanja Wa Samola,simba alitanguliwa kufungwa na lipuli na bao lenyewe lilifungwa na addam salamba baaada ya Kocha kuona bocca na okwi wamebanwa sana alomuingaiza mzee Wa kuchoma mahindi kwenye bench akafunga gori dakika mwisho na kufanya simba 1 na lipuli 1.
2.UMOJA, bench La ufundi LA simba wanatakiwa kuwa wamoja sana kuanzia kocha mkuu mpaka wachezaji na kocha mkuu ndio unatakiwa kuleta UMOJA ktk timu na aachane na vigisu za waafrika ktk timu maana mwafrika elimu yake na unafiki tangu ukolini mpaka Leo .
3.UWEZO BINAFSI.wachezaj wetu Wa kiafrika hatuna uwezo binafsi ndio maana hata wakina bocco,okwi na kaggere wakibanwa na beki za timu pinzani wanakuwa km wachezaji Wa kawaida sana na cha ajabu mpaka sasa okwi hana gori hata moja wakt mwaka Jana ndiye alikuwa top score ya Tanzania premier league na angaria na bwana samatta kwenye timu yetu hana gori kwa sasa kwa kuwa halishwi........
......Leo tutaona kwako wanajavi.
 
Simba ina washabiki wengi Tanzania na Nje ya Tanzania! Unajua unachoandika au muwasho wa vidole?
 
Eti timu bora alafu hapo hapo unaorodhesha ubovu wa timu (wachezaji, kocha na bechi la ufundi) hahahaha Rage yupo sahihi mashabiki mbumbumbu
 
Teh teh teh Timu bora huku inacheza match 3 kati ya hizo mbili draw na moja unafungwa? Kweli wewe ni Mbumbumbu.
 
Timu nzuri haifungwi?.. Simba ipo vzr mno hata ndala wanajua.
Wao wanajipa moyo eti hawajafungwa, je hamtafungwa?
 
Acha ujinga wewe, mashabiki wengi umejuaje? Umefanya lini hiyo research yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…