ππππ
Yanga nilijua mpo hata 50 bora??ππππNilijua mpo 3 bora kumbe hata 10 bora hampo
Maji maji ya Songea mpk nimeshaisahau...bora aishabikie Mbambi fc ya Mbinga11075. Sema kuitamka ndio siwezi
Lift ya njia gani...lift ya kupokea vitombo kila cku kama kile mlichopewa na lipuliππππYanga watapanda lift fasta nyie endeleeni na hizo ngazi
Maji maji ya Songea mpk nimeshaisahau...bora aishabikie Mbambi fc ya Mbinga