Simba yapeleka malalamiko CAF kufuatia Tukio la Moshi uliosababishwa na mashabiki wa wydad

Acha mazoea
 
Mbwiga usikariri hata sisi Horoya alitufunga kwao alipokuja hapa tukamkanda 7 - 0. Hii ni shughuli ya kiume nyie hangaikeni na hilo kombe lenu la vibonde.
 
Daaah sipendi 🤣🤣... Lakini inabidi tu nijaze hesabu za visanduku
 
Hapa Simba wameamua kutengeneza mazingira ili CAF wawakanye mashabiki wa Wydad kwasababu Simba wanajua kuwa kilichotokea Dar ni trela tu huko Morocco ndio balaa zito. Maana ni full house wa mashibiki machizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…