Emanuel Patricky
Member
- Jul 26, 2017
- 6
- 1
Hacheni usenge fanyeni kitu cha uhakika post kitu cha uhakikaNi habari ya chinichini kwamba mnyama simba sports yalambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea
Ohooooo.Kumbe na wewe Ni Mnyama....Thanx God haikuwa mechi ya ratiba wala ligi.
Itaimarika naamini
Mkuu hili jukwaa wewe si saizi yako,ni bora urudi facebook tu,sijaona sababu ya wewe kutukana wakati hapa ni watani wa jadi.
Mnarudi lini shuleni?
Bado hujala ban?Ohooooo.Kumbe na wewe Ni Mnyama....
So na wewe Ni miongoni mwa wale mr Rage akiwaita 'ze mbumbumbuz'
Aibu warudi nyumbani tuView attachment 553019
Kwi!kwi!kwi!
Ataanzia wapi mkuu wakati yeye Ni miongoni mwa wake jamaa......Bado hujala ban?
Aisee pole mkuu. Hata na wewe boss umekosa timu ya kushangilia.Thanx God haikuwa mechi ya ratiba wala ligi.
Itaimarika naamini
Kama hao unawapotezea tu hawajui ukitaka utani wa jadi uwe na moyo wa kupokea mabaya na mazuri.Mkuu hili jukwaa wewe si saizi yako,ni bora urudi facebook tu,sijaona sababu ya wewe kutukana wakati hapa ni watani wa jadi.
Jaribu kuwa na adabu maana hapa wengine ni baba zako dogo.
Ni kweli mkuu,maana naona dogo alikua anaenda tuition kaamua kupitia jf kutoa povu kwanza.....!Kama hao unawapotezea tu hawajui ukitaka utani wa jadi uwe na moyo wa kupokea mabaya na mazuri.
Ndio hao wanazimiaga Taifa.
Hahaaa. Kama wamepigwa 7 povu halisaidii aisee.Ni kweli mkuu,maana naona dogo alikua anaenda tuition kaamua kupitia jf kutoa povu kwanza.....!
wang'oa viti hao..upande wao pale taifa pana viraka sana,kiti hiki kipya kile cha zamaniKama hao unawapotezea tu hawajui ukitaka utani wa jadi uwe na moyo wa kupokea mabaya na mazuri.
Ndio hao wanazimiaga Taifa.
lini!?Yanga alipigwa 34 -0 huko Brazil.
FAKE NEWS....Ni habari ya chinichini kwamba mnyama simba sports yalambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea