Simba yapokelewa kifalme JN International Airport

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Umati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.

Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya robo fainali na Wydad casablanca ya Morocco wameonekana kufurahishwa na matokeo ya timu yao kuendelea kulitetea kombe lao la kufika robo fainali kwenye michuano ya caf.

.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…