Simba yaporomoka viwango CAF

Mkuu huwa unanifurahisha sana na nyuzi zako.
 
Mwanzoni mwa msimu huu Simba ilikuwa nafasi ya 9, msimu unaisha iko nafasi ya 7, imeporomoka kivipi? Umenikumbusha uzi wangu niliosema Deportivo de Utopolo wakimtoa CRB itaisaidia Simba kupanda rank halafu kuna watu wakaniona sina akili. CRB angeenda robo fainali kwa kumtoa Yanga, Simba ingeshuka chini ya hapo ilipo sasa kwa hiyo mmefanya kazi bila malipo.

Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA
 
Wewe nae hua una ujinga kila kitu nlisema

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ukiona simba inaporomoka ujue Yanga inaporomoka na kuserereka kwa pamoja.
 
Nimegundua Yanga wanaumia sana Simba kupata hilo kombe..kwa sasa wapo kwnye ligi ya ubingwa ya kulishusha hadhi kombe hilo...maana kwa mijadala yao humu kila kukicha basi na hii ni ligi tena ligi ya mabingwa wa kuchonga ngenga...vyura wapiga kelele....
Mwakani wagome tena wasicheze tuone...
 
Nafikiri Yanga iligomea kombe la muungano kama ni kweli ili ile wiki (7-2) iendelee kusimama miezi kadhaa na mabango yanayokera yaendelee kusomeka vizuri heshima iwepo mjini.

Yanga hii haikurupuki, ninavyojua hakuna uto anaeumia bali watu wanaicheka tu mbumbumbu FC!! Mmoja wao mimi hapa

Mfano fainali Simba ilishinda mechi kwa kucheza rafu nyingi na kupoteza muda na si kwa pira biriani ilikuwa aibu sana!

Ukipata wasaa rudia kuangalia ile mechi utaona mahali Simba ilipofikia ni kama underdog maana walikuwa wakipambana kwa rafu mpira uishe wabaki na goli lao, you cannot see Yanga plays with underdog spirit kama vile walivyofanya Simba kutaka mpira uishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…