Simba yasajili foward Mgambia, Pa Omar Jobe

asee hadi bangladesh kacheza
 
Simba aina hii ya usajiri ni kama haiko serious
Kwanza alikuja yule Michael Chalamba kwa majaribio...akafeli

Kisha Babarosa tunampa muda , na sasa huyu Jobe naye tumpe muda
 
Aache uongo, huyu kuanzia 2022 mpaka 2024 kafunga magoli manne tu na hapo khazastan club ya zenis kafunga goli Moja tu
 
Viongozi wa Simba wanakusanya ten pacent zao tu!! Kwa ajiri ya kugombea ubunge 2025.
Ukiangalia hata sura tu unaona hakuna mchezaji hapo ni mchezaji wa ndondo cup!!
 
Kwani ni lazima kununua mchezaji nje ya nchi?
 
Labda Mungu atasikia kilio chetu
Hakuna mchezaji hapo! Mshambuliaji unamuona tu kwa muonekano wake, tumekuwa na watu wa kazi wakina Mark Silengo,Felix Mumba Sunzu, Medie Kagere, Mugalu n.k wote walikotoka walikuwa ni moto, wakaja Simba wakawasha moto haswa.

Uyu hata alipo toka hapajulikani tusitegemee maajabu yeyote kwake hakuna mchezaji humo.

Yohane mbatizaji alituma watu wamuulize Yesu kuwa yeye ndie Masih?!! Yesu hakuwa na mambo mengi aliwaambia nendeni mka mwambie Yohane ninayofanya:"vipofu wanaona,viziwi wanasikia,walemavu wanatembea na mabubu wanaongea"

Ukiwauliza viongozi wa Simba uyu mtu mliemleta ni nani? Hakuna jibu la maana watakupa! ni ujinga mtupu.
 
Tegemeeni kufungwa kimoko na Mlandege alafu mtakula 5 zingine kutoka kwa Yanga, hicho ndio watakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…