Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Akisema alete wachezaji wa profile yake kuna hio budget ya kuwalipa?Profile ya Zoran na Benchika ni vitu viwili tofauti
Hapo kuna wazee wa 10 percent washafanya Yao... Usikute Hana hata nusu ya uwezo wa Moses PhiriNi chaguo la kocha au viongozi?
Kama kocha sina wasiwasi ila kama kina Mangungu na Try again basi hapo ni half loss half profit
Ni ngumu mchezaji mzuri kumpata free agentNgoja tuone.ila BONGO tuache ushabiki maandazi.hilo sio kigezo sana
Huyu MAYELE alikaa yànga misimu mingapi
Ligi ya Kazakhstan ni laini sana angalia National team yao ushiriki wa vilabu vyao kwenye michuano ya UEFA mbaya zaidi huyu jamaa hajatoka top team ni kama katoka Dodoma jiji ya KazakhstanMara nyingi mchezaji ambaye haimbwi sana midomoni mwa watu huwa anakuja kuwa mchezaji mzuri! Mimi naimani nayeye!
Una lipi la kusema juu ya huu usajiri ndgu muhasibu?Labda Mungu atasikia kilio chetu
Hahahahaha, kuzunguka kote huko ktk hizo timu..amewahi kuitwa hata timu ya taifa ya kwao Gambia?Wagambia cream wote wako Afcon hilo lonya makolo wameshikishwa.
Timu ya taifa ya Gambia amewahi kuitwa ? Hata mechi za awali ? Hebu niulizie hukoLigi ya Kazakhstan ni laini sana angalia National team yao ushiriki wa vilabu vyao kwenye michuano ya UEFA mbaya zaidi huyu jamaa hajatoka top team ni kama katoka Dodoma jiji ya Kazakhstan