Simba yasajili kiungo mkabaji, ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda

Simba yasajili kiungo mkabaji, ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda

Timu alizowahi kucheza ni Express&Vipers (Uganda) na Tanta ya Misri

FB_IMG_16069076976932044.jpg

===
TADDEO LWANGA NI MNYAMA 🦁

Karibu Msimbazi kiungo mkabaji (defensive midfielder) wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Uganda ambaye amewahi kuzichezea timu za Express FC, SCV Kampala, Vipers FC na Tanta FC, Taddeo Lwanga).

Karibu Lwanga uwe sehemu rasmi ya mabingwa wa nchi na wawakilishi wa nchi mwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
 
Tunataka okwi mganda sio kila mganda tunampenda
Tunamtaka?? Wewe na nani? Wewe ndiye unayefundisha na kupanga timu? Au unataka aletwe MCHEZAJI ambaye si pendekezo la Mwalimu Kisha akae benchi kwa kushindwa kutumika kwenye mfumo wa Mwalimu?

Taaluma ziheshimiwe, Mapenzi yabaki ndani ya kifua.

Mwisho, Wewe shabiki au mwanachama?
 
Brother mbona maelezo marefu sana wew ni upande wa pili au, mana kuna wenzako wakisikia jina okwi wanapatwa na homa ya kuendesha, mim najua gap lililokuepo ni la kiungo mkabaji na kushambulia apo apo achukue mikoba ya Gerson Fragha so kumtaja okwi nilikuwa nasababu zangu kuna viumbe nawatafuta, pili kuhusu kwamba ni mim na nan tunamtaka inakusaidia nin? Kwani kama ni mim na mke wangu ndo tunataka wew unapata nini? Tatu, kuhusu kwamba mim ni mshabiki au mwanachama what do you want ni unafanya sensa au research???

Back
Top Bottom