Tunamtaka?? Wewe na nani? Wewe ndiye unayefundisha na kupanga timu? Au unataka aletwe MCHEZAJI ambaye si pendekezo la Mwalimu Kisha akae benchi kwa kushindwa kutumika kwenye mfumo wa Mwalimu?Tunataka okwi mganda sio kila mganda tunampenda
CAF CHAMPIONS LEAGUE.. VPL.. FA.. E.T.CMkude hatoshi????
Labda mkataba uishe kule. Maana wanasajili free agents kwanza. It makes sense kama ni wazuri. Wasije kuwa majeruhi wa kudumu.Na Okwi vipi bado mzigo haujatemwa
huyu mpira anafuatilia JFMkude hatoshi????
kupigwa katika zoezi la usajiliUmepigwa na nani?
huyu mpira anafuatilia JF. Wewe mpira unafatilia wapi???
Ukijua kuandika Kiswahili kwa ufasaha, utaijua sababu. Meanwhile baki kama ulivyo!Kwanini mashabiki wa Simba awajajaa Airport kwawingi kumpokea kama wanavyojazana wana Yanga kupokeaga viroba vyao?
Basi Mimi nilijua ametoka Zamalek au AhlyJaman huyu lwanga mbona katoka misri kwenye timu ndogo sana tusiije tukawa tumepigwa
Tunamtaka?? Wewe na nani? Wewe ndiye unayefundisha na kupanga timu? Au unataka aletwe MCHEZAJI ambaye si pendekezo la Mwalimu Kisha akae benchi kwa kushindwa kutumika kwenye mfumo wa Mwalimu?
Taaluma ziheshimiwe, Mapenzi yabaki ndani ya kifua.
Mwisho, Wewe shabiki au mwanachama?