Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Aisee! Kwani Kocha Anaonaje Akampeleka Agban Mbele Akawe Striker na Kuliacha Goli pekee?!
 
Half time Simba 0 Lyon 0,Angban alitaka kufanya upuuzi pale mpira umegonga mtambaa wa panya
 
Kule Mbeya Prison 0 Yanga 0,Yanga wamekata tamaaa ndugu msomaji
 
Agbani anafanya makosa ya ovyo sana,kitendo cha kua na beki nzuri kimemfanya awe mzembe kabisa.Anakoswakoswa kama vile haoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…