Hatuna raha wapenzi wa simba na jana nimesikia kiongozi mmoja akisema tumevamiwa na mafisadi daah hii sijui imekaa vipi au ndiyo tumechanganyikiwa....
Hatuna raha wapenzi wa simba na jana nimesikia kiongozi mmoja akisema tumevamiwa na mafisadi daah hii sijui imekaa vipi au ndiyo tumechanganyikiwa....
Ni kujiuzulu na sio kujiudhuru.
Yuko kwenye kamati moja wapo hivyo mi nachukulia kuwa nikiongozi sikumbuki jina lake na hiyo kamati aliyoko....lakini yote kwa yote yanga anafungika mkija kichwa kichwa story itabadilika subilia trh 26.10yule sio kiongozi wa simba bwana aliyesema hayo
baada ya simba kufungwa na toto goli 4-1 kuna mtangazaji wa redio moja hapa jijini wa kipindi cha michezo alianza kwa kutangaza NANUKUU "Simba koko aufyata mkia mwanza, akubali kuchutamishwa mara 4"
naamini jumamosi mnyama atamfunga yanga kwani bila hivyo songombingo litakalotokea shughuli ya kosovo itakuwa cha mtoto. hivyo zitafanyika mbinu zote ili mnyama ashinde au angalau atoe droo