Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.

078996A2-AFC5-4BB9-8A5C-627E9F6CEA9C.jpeg
 
Safi sana, asaidie kupunguza wachezaji kuwa majeruhi.
 
Tuliyekuwa tunamtaka ni , Adel Zrane.

Simba HAWAPO serious kabisa yani.

Azizi ki wamemkosa.

Bambala wamemkosa

Adebayor wamemkosa.

Bobosi wamemkosa.

MANZOKI wamemkosa.

Miquesson wamemkosa.


INASIKITISHA SANA.
IRP HANCE POPE.
 
Tuliyekuwa tunamtaka ni , Adel Zrane.

Simba HAWAPO serious kabisa yani.

Azizi ki wamemkosa.

Bambala wamemkosa

Adebayor wamemkosa.

Bobosi wamemkosa.

MANZOKI wamemkosa.

Miquesson wamemkosa.


INASIKITISHA SANA.
IRP HANCE POPE.
Mbumbumbu unaumia ukitokea wapi?[emoji28][emoji28]
IMG-20221117-WA0150.jpg
IMG-20221117-WA0134.jpg
IMG-20221117-WA0125.jpg
IMG-20221117-WA0139.jpg
IMG-20221118-WA0012.jpg
IMG-20221117-WA0149.jpg
 
Back
Top Bottom