Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Bodi na Menejimenti Imepwaya Sana. Nalo hili lilihitaji msukumo wa mashabiki.Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
View attachment 2419599
Kwanini mkuu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanapoteza mda tu
Mbumbumbu unaumia ukitokea wapi?[emoji28][emoji28]Tuliyekuwa tunamtaka ni , Adel Zrane.
Simba HAWAPO serious kabisa yani.
Azizi ki wamemkosa.
Bambala wamemkosa
Adebayor wamemkosa.
Bobosi wamemkosa.
MANZOKI wamemkosa.
Miquesson wamemkosa.
INASIKITISHA SANA.
IRP HANCE POPE.