Simba yatangaza uchaguzi Februari 15, 2022, tutakuwa tumeshashuka daraja tayari

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimeona kwenye gazeti moja la leo uchaguzi wa Simba utafanyika February 15 2023, sijaona sababu ya msingi kwanini uchaguzi uwe mbali namna hiyo wakati jahazi limekwishazama.

Waliyopanga uchaguzi uwe Februari wana lengo gani? Je, Simba iwe imeshuka daraja kutokana na matokeo mabovu? Simba iendelee kuwa mdebwedo kwenye makundi Ligi ya Mabingwa.

Kwanini tufike had Februari 2023? Kwanini uchaguzi usiwe Januari, 2023? Februari ni mbali sana, hata mkimsajili Ronaldo hamtarudi tena kuiongoza Simba.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Hii timu Ni ya Muddy wewe au hujui Hilo. Wewe kazi yako kushangilia tu ikifanya vizuri mambo ya uchaguzi huna mamlaka nayo, ebooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…