Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi kama TFF hilo jambo ni dogo sana kwetu na favor side yetu ambayo ni simba SC tutawapa haki yao ambayo ni mchezaji Mhilu na mali yao halali kabisa
Kinachofanyika hapo ni dhulumati, Simba wanataka watoe pesa ndogo ya signing fee kwa Kagera sugar. Au wasipewe kabisaTFF wamegoma Mkuu, wamesema timu hizo mbili zikubaliane kuhusu transfer fee ya mchezaji husika.
Kwahiyo Karia ndio awe anapanga bei za kununua wachezaji?Timu kubwa zinanunua wachezaji wa nje kwa bei kubwa lakini wanataka kuzidhulumu timu zetu ndogo kwa hela ndogo kununua wachezaji wenye uwezo mkubwa uwanjani kuliko wachezaji wa nje akina Chikwendwe, Sarpong, Kahata, nk. Huu ni mtihani wa kwanza wa Karia tangu urudi tena TFF.
Ebu fuatilia kagera wanasema hawaendi TFFSimba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini? .
Ndiyo.Huyo Mhilu anachezea Timu ya Taifa?
Tena ni regular starterHuyo Mhilu anachezea Timu ya Taifa?
Uto bhana mambi ya Simba mnaimba nyie.Simba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini? .
Mimi nimemsikiliza Farhan Kiamu yule mchambuzi wa michezo Clouds, alisema amelifatilia hilo suala na kilichotokea ni hiki, nanukuuSimba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini? .
Ilikuwaje Muhilu aende TFF mwenyewe akadai kuvunja mkataba wake na Kagera ili awe huru kwenda simba? Simba weledi uko wapi kumtangaza mchezaji ambae usajili wake bado una shida? kiburi cha kufanya hivyo wanakitoa wapi!! TFF? Karia? mo? au ukubwa wa Simba na udogo wa Kagera?Mimi nimemsikiliza Farhan Kiamu yule mchambuzi wa michezo Clouds, alisema amelifatilia hilo suala na kilichotokea ni hiki, nanukuu
"Simba walimalizana na Muhilu na walikua tayari wamewasiliana na Kagera Sugar na offer ya usajili ilikua imekubaliwa na pande zote mbili...
Mimi nadhani mchezaji mwenyewe (Muhilu) alipoona labda ada ya kusajiliwa ni kubwa tofauti na iliyopo kwenye mkataba kuna uwezekano aliingia tamaa akaamua awaoneshe Simba masharti ya mkataba, na simba kwa upuuzi wakashindwa kufata makubaliano na Kagera wakaona wawazunguke Kagera ili kama kuna uwezekano wampe Muhilu pesa ili akaununue mkataba, then kagera kuona hivyo wakaona dili lao linaingia mchanga ndio wakaamua kulitibuaIlikuwaje Muhilu aende TFF mwenyewe akadai kuvunja mkataba wake na Kagera ili awe huru kwenda simba? Simba weledi uko wapi kumtangaza mchezaji ambae usajili wake bado una shida?...
Sio yeye anaepaswa kupanga bei za uhamisho, lakini karia anapaswa kuufahamu ubaya wa timu kumtambulisha mchezaji mwenye mkataba halali na timu nyingine na anapaswa kuifahamu adhabu ya kosa hilo. Kama Karia na TFF watafumba macho, masikio na midomo yao kwenye kosa hili hawatafanya hivyo kwa bahati mbaya tu.Kwahiyo Karia ndio awe anapanga bei za kununua wachezaji?
it is not over till is over, Simba wasingemtangaza na kumtambulisha kuwa ni mchezaji wao hadi pale ambapo wamemaliza mabishano ya uhamisho.Ebu fuatilia kagera wanasema hawaendi TFF
Walikubaliana 60M lakini baadae Simba wakagundua mkataba wa mhilu unaoption ya mhilu kuuzwa kwa 32M tuu.
Ila makubaliano yapo.
We utopolo kinachokuuma ni niniIlikuwaje Muhilu aende TFF mwenyewe akadai kuvunja mkataba wake na Kagera ili awe huru kwenda simba? Simba weledi uko wapi kumtangaza mchezaji ambae usajili wake bado una shida? kiburi cha kufanya hivyo wanakitoa wapi!! TFF? Karia? mo? au ukubwa wa Simba na udogo wa Kagera?
Soka letu lina safari ndefu kufika linakokwenda
kwenye hili unamsikiliza mchambuzi au kiongozi wa Kagera?Mimi nimemsikiliza Farhan Kiamu yule mchambuzi wa michezo Clouds, alisema amelifatilia hilo suala na kilichotokea ni hiki, nanukuu
"Simba walimalizana na Muhilu na walikua tayari wamewasiliana na Kagera Sugar na offer ya usajili ilikua imekubaliwa na pande zote mbili...