Simba yatia aibu usajili wa Yusufu Mhilu, inategemea tena TFF iibebe kama kwa Morrison

Ukiinflate soko la ndani automatically utaua vilabu vidogo kwa sababu vitashindwa kabisa kusajili wachezaji.

Kagera Sugar siku zote they have issues with Simba toka wapande ligi kuu sijajua ni kwanini
sio kweli, ukipandisha bei ya soko la ndani utapunguza idadi ya wachezaji watakaokwenda kusugua mabenchi kwenye timu kubwa. Huyu Muhilu alionekana hafai Yanga akatolewa kwenda Kagera. Wako wachezaji wazuri kama Shemtembo, Ndemla, mo, Raphael Daud, Gadiel na wengine ambao wamefungiwa makabatini na timu kubwa. Hii inawezekana kwakuwa walisajiliwa kwa bei ya kutupa.
 
Mbona umerudia kile kile nilichokisema sasa ?
 
Uko sahihi, lakini ili iwe fundisho kwa timu na wachezaji wengine TFF lazima ionekane ikizifuata kanuni zake, CECAFA, CAF na FIFA, maana mpira wetu na ligi yetu unaanza kukua. Simba imefanya kosa linalofanana na hilo kwa Morrison bila kupewa adhabu na TFF hadi watu wakalazimika kwenda CAS, tutaendelea na hali hii hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…