rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa timu ya simba ni hatua kubwa hiyo, huyu Onyango mwonekano wake na jinsi anavyotulia dimbani ni vitu viwili tofauti.Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga
Wataingiaje wakt nchimbi anafanya birthdy ya mwaka bila bao.Watani hata kikosi cha CECAFA sioni wa kuingia.
Acheni nyodo basi! Kwani wakati Yanga inashiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho miaka michache iliyopita, nyinyi mlikuwa mnashiriki nini?Mabingwa Wa Kihistoria 😉
Tulia dawa iwaingie fresh 😕🤕 💉💉💉Acheni nyodo basi! Kwani wakati Yanga inashiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho miaka michache iliyopita, nyinyi mlikuwa mnashiriki nini?
Mwakalebela iteni press conference haraka ulalaminie huu upendeleo. Haiwezekani beki wetu kisiki 'nyeto na Fiston aliyefunga goli la ushindi juzi wakose.Team of the weekView attachment 1715520
Ya kale hayanuki tunaongelea mashindano yanayoendelea sasa. Kubalini tu kuwa Simba imewazidi na kulalamika kwenu ovyo hakutaishusha Simba haitawasaidia kupanda kiwango. Nyie saizi yenu Kengold tuAcheni nyodo basi! Kwani wakati Yanga inashiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho miaka michache iliyopita, nyinyi mlikuwa mnashiriki nini?