Simba yatoa wachezaji 2 kikosi cha wiki CAF Champions League

Na kocha bora? Weka full tuone... Ili tuendelee kufatilia tunaweza pata wachezaji wakununua na kuwapandisha thamani alafu tuna wapiga bei...
 
Mabingwa Wa Kihistoria πŸ˜‰
Acheni nyodo basi! Kwani wakati Yanga inashiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho miaka michache iliyopita, nyinyi mlikuwa mnashiriki nini?
 
Acheni nyodo basi! Kwani wakati Yanga inashiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho miaka michache iliyopita, nyinyi mlikuwa mnashiriki nini?
Tulia dawa iwaingie fresh πŸ˜•πŸ€• πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
mbona kwenye sylabus ya somo la historia ya Tz sjaona wanao jiita mabingwa wa kihistoria jamani uto mnakwama hadi huko
 
Acheni nyodo basi! Kwani wakati Yanga inashiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho miaka michache iliyopita, nyinyi mlikuwa mnashiriki nini?
Ya kale hayanuki tunaongelea mashindano yanayoendelea sasa. Kubalini tu kuwa Simba imewazidi na kulalamika kwenu ovyo hakutaishusha Simba haitawasaidia kupanda kiwango. Nyie saizi yenu Kengold tu
 
Yanga wao wanajiandaa kutengeneza guest house pale jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…