Kuiga ni kama hivi:
1. Simba day Ikazaa wiki ya mwananchi.
2. Mchakato wa simba kampuni ukazaa yanga kampuni.
3. Club kuajiri CEO senzo kukazaa yanga kumuajiri senzo kama CEO.
4. Simba app ikazaa yanga digitali.
5. Simba ilianzisha matumizi ya VAR yanga wakafata.
Mambo ambayo yanga bado inajitafuta kwa simba na hawatafanikiwa karibuni ni
1. Kufika hatua ya robot faonali CAFCL.
2. Kuwa ndani ya top ten zinazotambuliwa na CAF.
3. Kuwaleta viongozi wakubwa wa soma duniani kwa pam4oja kama itakavyokuwa kwenye super ligi.