Simba yawazawadia washabiki wake

Simba yawazawadia washabiki wake

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
203
Reaction score
83
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Simba-zawadi-10.jpg
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva wa tatu kutoka kushoto akiwa na Washindi wa bahati nasibu Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup ImanKajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Simba-zawadi-3.jpg
[/FONT]

Rais wa Simba Evans Aveva Akikabidhi Zawadi kwa Mmoja wa Washindi

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi pamoja simu, kila mshindi amepata jezi ya juu pea moja pamoja na simu moja aina ya Motec. Washindi wa zawadi hizo ni Jeremia Venist, Ahazi Mwembe pamoja na Marko Mgimba.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Washindi wa bahati nasibu wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mbali na zawadi hizo, klabu hiyo pia imekabidhi mipira nane kwa shule mbili za msingi za mkoa wa Dar es Salaam ambapo Shule ya Msingi Mikocheni A imepata mipira minne huku Shule ya Mingi Chang’ombe Mazoezi nayo ikikabidhiwa mipira minne.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Rais wa Simba Evans Aveva akimkabidhi mpira mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mikocheni A
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva amesema, klabu hiyo inataka kusaidia soka la vijana nchini na kwasasa wameanza na mkoa wa Dar es Salaam lakini baadae watasonga mbele hadi kwenye mikoa mingine ili kuwafikia watu wengi zaidi hasa watoto ambapo ndio leno hasa la klabu hiyo kusaidia soka la vijana.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[/FONT]

 
Back
Top Bottom