Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mmmmhhhhh!Wengi Sanaaaaa
We Guna tu.Mmmmhhhhh!
Eti nasikia kuna simba alizidiwa na njaa kala miwa ya watuWe Guna tu.
Hahahaaa. Hahahaaaaa. Hahahaaaaaa.Eti nasikia kuna simba alizidiwa na njaa kala miwa ya watu
Et hajar hii habari ina ukweli wowote?
Sent using Jamii Forums mobile app
πππEti nasikia kuna simba alizidiwa na njaa kala miwa ya watu
Et hajar hii habari ina ukweli wowote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kipenzi mbona yule simba inasadikika alikua dume??Hahahaaa. Hahahaaaaa. Hahahaaaaaa.
Kama wataka kuniambia niambie tu Mtani kuwa mmeona mwezi leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeshinda ngapi kwani? [emoji101][emoji101][emoji101]
Hahahaaaa. Lol.Mtani kipenzi mbona yule simba inasadikika alikua dume??
Sana dume na mwez wapi na wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] mtani iv ulijifunzia wapi mbio za kukimbia maswaliHahahaaaa. Lol.
Hapa najua utetezi lazima Mtani.
Hahahaaaa. Lol.[emoji23] [emoji23] mtani iv ulijifunzia wapi mbio za kukimbia maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani tumepiga viwili vya afya!Hahahaaaa. Lol.
Haya niambie Mtani mmeshinda ngapi?
ππππ lol.
Tazama tena mtani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.
Ahsante kwa kunidanganya Mtani sababu nina hakika kwa asilimia mia mngekuwa mmefungwa wala usingetokea kwenye huu uzi.
Hahaaa. Lol.
Hzi pongezi hazijapitia kwa bibi kweli mtan nisije kuzipokea nikapeleka shida nyumbani.Hahaaa. Lol.
Haya hongereni watani zangu.
Hzi pongezi hazijapitia kwa bibi kweli mtan nisije kuzipokea nikapeleka shida nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani ngoja nizipeleke kwenye kikao cha wazee alafu ntarudi kukujibu[emoji2] [emoji2]Hahahaaa. We zipokee tu Mtani.
Mengine hayo utayajua mbele kwa mbele. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]