MCHEZA KWAO HUTUNZWA!
MKANA KWAO MTUMWA!
Thatβs all
Ingekua Simba ndio imefungwa matokeo ungesha yamwaga hapa Hajarππππ,Hahahaaa. Hahahaaaaa. Hahahaaaaaa.
Kama wataka kuniambia niambie tu Mtani kuwa mmeona mwezi leo. ππππ
Mmeshinda ngapi kwani? πππ
π³π³π³Watupishe sieeee. Eti hiyo pia ni ndege ya kuweka nayo rekodi. Khaaaa.
Hahaaa. Si ndio Chama langu sasa ntaachaje kujua matokeao jamaani.Ingekua Simba ndio imefungwa matokeo ungesha yamwaga hapa Hajarππππ,
Yanga mtapata tabu sana mwaka huuπππ
Ndiiio πππ³π³π³
Kwani wewe hujui hawa ni mambumbu wa duniaRekodi ya dunia!? Uko serious mkuu na hili neno?ππ
HajarNdiiio ππ
Niambie SestenHajar
Mechi ijayo mnacheza na Waarabu, kiroho hakikudundi?Niambie Sesten
Walaaaaa. Kwani mbali si baadae tu saa moja.Mechi ijayo mnacheza na Waarabu, kiroho hakikudundi?
Kwa hiyo wahisi asilimia kubwa ni ushindi eeh? Kwa timu gani mlokua nayoπ³π³πWalaaaaa. Kwani mbali si baadae tu saa moja.