njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Maana yake ni nini? Watapangiw vibonde au unamaanisha nini?
unawakimbia vigogo siyo zile habari za kuchanganyiwa as vita na al ahly kundi moja hapo tukimpata kaiser chiefs poa sanaMaana yake ni nini? Watapangiw vibonde au unamaanisha nini?
Hawewezi kupangiwa timu ambazo wako nazo pot 3Maana yake ni nini? Watapangiw vibonde au unamaanisha nini?
Mbona pot 3 ina vibonde tuHawewezi kupangiwa timu ambazo wako nazo pot 3
Kwa hiyo simba nao ni vibonde mkuuMbona pot 3 ina vibonde tu
Kila kundi kutakua na Team toka Pot 1,2,3 na 4.Timu zenye afadhali kupangwa nazo..
Al hilal sudan
Kaiser chiefs SA
Horoya
I second you The BossTimu zenye afadhali kupangwa nazo..
Al hilal sudan
Kaiser chiefs SA
Horoya
Hororya ni wazuriTimu zenye afadhali kupangwa nazo..
Al hilal sudan
Kaiser chiefs SA
Horoya