Simba yawekwa pot 3 kwenye draw ya CAF

Hapana semi finals CCL zilikuwa

1) Raja Casablanca vs Zamalek
2) Wydad Casablanca vs Al Ahly

Horoyo AC mwaka jana haikuingia makundi CCL bali iliingia makundi ya Caf Confederation Cup
Poa Chief ni kweli[emoji1666]
 
Sasa kama hayupo hapo unatoa wapi ujasiri wa kuwaita waliongia club bingwa group stage vibonde? Unaweza nikumbusha mwaka gani we tangu umeanza kushabikia Yanga ambao sio vibonde waliingia group stage champions League?
Mkuu unabishana na Mshangiliaji?
Utakauka koo bure.
 
Unataka kuaminisha umma kuwa msimu huu 9 points zipo kwa mkapa?
 
Wakati tunasubiri tupangiwe na Kibonde kumbe tim nyngne znataman zpangiwe na Cc wanatuona Vibonde Round hii patachimbika afe kipa afe beki ila nusu fainali tunatinga
 
Hongera we ni mshindi
 

Upo sahihi sana Mkùu SIMBA kuingia MAKUNDI siyo issue sana....hivi nikumbushe YANGA ni lini mara ya mwisho kufika hatua ya MAKUNDI CAF champion league?
 
Club bingwa mwaka Jana Horoya Vs Raja Casablanca semi final

Acha UBISHI basi Mkuu...semi-finalist CAFCL kwa msimu wa mwaka jana ni Al-Ahly Cairo,Zamalek,Wydad Casablanca na Raja Casablanca.
Finalist walikuwa Al-Ahly Cairo Vs Zamalek....Al-Ahly Cairo akashinda mechi 2 - 1 akachukua kombe
 
KWA sasa Horpya ni level ya juu na hao wengine wamemtoa Raja si wakuwadharau.

Hawa wamemtoa raja sababu wamecheza uwanja umejaa maji.. hawana mpira wowote wa kutisha... hapo mkali waydad tu... msuva karibu nyumbani dar
 
Acha UBISHI basi Mkuu...semi-finalist CAFCL kwa msimu wa mwaka jana ni Al-Ahly Cairo,Zamalek,Wydad Casablanca na Raja Casablanca.
Finalist walikuwa Al-Ahly Cairo Vs Zamalek....Al-Ahly Cairo akashinda mechi 2 - 1 akachukua kombe
Mbona nishakubali mkuu, Horoya ni semi finalist wa Confederation Cup
 
Leo nafunga na kuomba mikia adondokee hapa

ES Tunis
Zamalek
Kaiser chief
Kwa mungu gan uliyenaye?. Km hata issue zko binafc hazfanikiw. Ukiiombea utopolo ipate matokeo maxur inapigwa. SIMBA HAIDHURIKI NA VJIDUA NA VJMAOMBI VYA NYIE WASHIRIKINA. Dadadeq zenu mtaendelea kuteseka

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…