Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kumbe hata mkataba wake KMC Haukwisha!
Afisa Mtendaji mkuu wa KMC FC Daniel Mwakasungura amethibitisha utata juu ya usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba hivi karibuni.
Kwenye SportsXtra Daniel amesema sakata hilo tayari lipo TFF na maamuzi yatatolewa na wasimamizi wa Shirikisho.