Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kinachotakiwa Simba ni kubadilisha Menejimenti yote. Tuanze upya, bila ya hivyo madudu yatakuwepo kila siku.Huu ni mwaka wa kufosi bwashee
Ameununua mkataba wake kwa sh. 50M. Waache KMC wajijiutie wenyewe kwa kuweka hela ndogo ya kuvunja mkatabaKumbe hata mkataba wake KMC Haukwisha! Afisa Mtendaji mkuu wa KMC FC Daniel Mwakasungura amethibitisha utata juu ya usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba hivi karibuni. Kwenye SportsXtra Daniel amesema sakata hilo tayari lipo TFF na maamuzi yatatolewa na wasimamizi wa Shirikisho.
Release clause?Ameununua mkataba wake kwa sh. 50M. Waache KMC wajijiutie wenyewe kwa kuweka hela ndogo ya kuvunja mkataba
Sio exactly kama release clause, terminology inayotumika zaidi ni buy-out clause.Release clause?
Huu ujinga wa kununua mkataba una anza kua kansa unatakiwa tiba haraka sanaAmeununua mkataba wake kwa sh. 50M. Waache KMC wajijiutie wenyewe kwa kuweka hela ndogo ya kuvunja mkataba
Ulitegemea msemaji aseme kipi zaidi ya comedy?Jana Semaji lilisema, kwanini wanafanikisha dili za usajili za nje Nigeria, South Africa halafu hizi za Tanga barabarani ya 12 na Kinondoni tu zinakuwa na uhuni mwingi? Haiwasumbui kwa sababu huu ni uhuni wanaofanyiwa ili kuwaharibia focus zao kwenye mipango yao. Na hii ni kweli. Hapa Bongo u swahili umezidi na ujinga ujinga usio kuwa na tija kwenye soka
Tofauti iko Wazi Kati ya Wachezaji wanaotolewa nje na wanaopatikana ndani. Kwa Wachezaji wa nje timu zinanunua Wenye Mikataba au kusainisha Kwa signing fee wale waliomaliza Mikataba. Lakini Kwa ndani Simba/Yanga zimeanza mtindo wa kutoziafuata timu Ila wanamfuata mchezaji na kumuomba mkataba, wakiona buy-out-clause inawafeva wanampa hela akanunue mkataba. Sasa utaratibu wa ununuzi ndo shida. Badala ya mchezaji kuomba kununua mkataba na kusubiri jibu wao wanaamka asubuhi na Mil.100 anakwenda kuweka kwenye akaunti ya klabu ndo anawaandikia barua timu yake, "kaangalieni akaunti yenu nimeshaweka hela na pay in slip hii hapa", naomba release letter.Jana Semaji lilisema, kwanini wanafanikisha dili za usajili za nje Nigeria, South Africa halafu hizi za Tanga barabarani ya 12 na Kinondoni tu zinakuwa na uhuni mwingi? Haiwasumbui kwa sababu huu ni uhuni wanaofanyiwa ili kuwaharibia focus zao kwenye mipango yao. Na hii ni kweli. Hapa Bongo u swahili umezidi na ujinga ujinga usio kuwa na tija kwenye soka
Na huu uhuni haukuwepo hapo kabla, ila tokea litokee ishu ya Feisal ndio haya matunda tunayaona sasa.Tofauti iko Wazi Kati ya Wachezaji wanaotolewa nje na wanaopatikana ndani. Kwa Wachezaji wa nje timu zinanunua Wenye Mikataba au kusainisha Kwa signing fee wale waliomaliza Mikataba. Lakini Kwa ndani Simba/Yanga zimeanza mtindo wa kutoziafuata timu Ila wanamfuata mchezaji na kumuomba mkataba, wakiona buy-out-clause inawafeva wanampa hela akanunue mkataba. Sasa utaratibu wa ununuzi ndo shida. Badala ya mchezaji kuomba kununua mkataba na kusubiri jibu wao wanaamka asubuhi na Mil.100 anakwenda kuweka kwenye akaunti ya klabu ndo anawaandikia barua timu yake, "kaangalieni akaunti yenu nimeshaweka hela na pay in slip hii hapa", naomba release letter.
Mtalaumu tu lakini mkiacha chilli chupli Hakuna atakayewazingua.
Ndo maana huoni Simba wakihangaika nao...Jana Semaji lilisema, kwanini wanafanikisha dili za usajili za nje Nigeria, South Africa halafu hizi za Tanga barabarani ya 12 na Kinondoni tu zinakuwa na uhuni mwingi? Haiwasumbui kwa sababu huu ni uhuni wanaofanyiwa ili kuwaharibia focus zao kwenye mipango yao. Na hii ni kweli. Hapa Bongo u swahili umezidi na ujinga ujinga usio kuwa na tija kwenye soka
Hio ya kuwualify ni cancelation clauseSio exactly kama release clause, terminology inayotumika zaidi ni buy-out clause.
Tofauti ni hii:
Release clause mfano wake ni iwapo kuna timu itamuhitaji kwa dau kubwa zaidi, mchezaji aachiwe kujiunga nayo. Au mfano mwingine ni iwapo timu anayoichezea itashindwa kuqualify group stage, au champions league etc, basi aachiwe kujiunga na nyingine
Buy-out clause ni iwapo mchezaji atataka kuondoka, basi alipe kiwango fulani cha hela awe huru. Hii hivi karibuni ina mfano wa Prince Dube alivyoilipa Azam FC akawa huru