Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa..

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Tarehe 30/09/2018 itakua ni mwendo wa ....

Intro:
Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa../
(Meeesen Selektaaa)
Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa../

Verse 1:
Simba chama la wana we unajua/
Damu yako nyekundu we mshabiki wa Simba hujajijua/
Yanga ndo vibonde wetu hakuna asiyejua/
Pia ni mke wetu ila anajichubua (Mmhh)/

Shangilia we Mavugo weee/
Shangilia we Kichuya weee/

Chorus:
Naipenda Simba mshabiki wa damu mie/
Naipenda Simba watoto wa Msimbazi mie/
Naipenda Simba mshabiki wa damu mie/
Naipenda Simba watoto wa Msimbazi mie/
Taifa Kubwa Simba.. Chama la wana Simba.. (Ninaipenda Simbaaa)/
Taifa Kubwa Simba.. Chama la wana Simba.. (Ninaipenda Simbaaa)/
Eeeeeeh Kidedea × 5/

Verse 2:
Mikono juu.. Mikono juu.. Mikono juu mwendo wa Msimbazi mikono juu/
Mikono juu.. Mikono juu.. Mikono juu mwendo wa Mkude mikono juu/
Mikono juu.. Mikono juu.. Mikono juu mwendo wa ..... mikono juu/
Mi kwa mjomba siendi tena kubaya wee/
Kila siku wanafungwa wao wabaya wee/
Wanaona haya wamefanywa vibaya (wanaona haayaaa wamefanywa vibayaa)/
Wanaona haya wamefanywa vibaya (wanaona haayaaa Yanga wamefanywa vibayaaaaa)/

Chorus:
Naipenda Simba mshabiki wa damu mie/
Naipenda Simba watoto wa Msimbazi mie/
Naipenda Simba mshabiki wa damu mie/
Naipenda Simba watoto wa Msimbazi mie/
Taifa Kubwa Simba.. Chama la wana Simba.. (Ninaipenda Simbaaa)/
Taifa Kubwa Simba.. Chama la wana Simba.. (Ninaipenda Simbaaa)/
Eeeeeeh Kidedea × 5/

Outro:
Mo Dewji Simba.. Paul Makonda Simba.. (wanaipenda Simbaa)/
Haji Manara Simba.. Afande aibra Simba..(Kaiza anaipenda Simbaa..)/
SIIMBAAA..

NB: Mda huu nipo mezani naandaa petition ya kuwashinikiza BET Awards wampatie Tundaman Tuzo yake ya nyimbo bora ya mwaka toka Africa, waliyomnyima miaka 2 oliypita.. Hahaha

Tukutane 30/09/2018 Taifa Stadium.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee Bi Hindu, kumbuka mdomo uliponza kichwa, shauri yako
 
Wee Bi Hindu, kumbuka mdomo uliponza kichwa, shauri yako
 
Anakwenda pale kichuyaaa kichuyaaa aalalalala anamramba chenga beki wa vyura nakutoa pande safi kwa medie kagere haya anakwenda kagere kagere kagere kagereeeeeeeeeeeeeee jahazi la bakuli fc linazidi kuzama SIMBA 5 bakuli hawajapata kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hapa ipo shiiiida....itakuwa kinyume chake....ninaanza kufanya ujasusi nikufahamu nyumbani kwa comrade Sembo ili nimtembelee baada ya mechi...sijui atajificha wapi..mjini hakuna nyasi...tetehtehtehtwh
 
Tambwe mkataba wake unaisha msimu huu..dawa pekee ya kubaki Jangwani ni kuwafunga mikia tu...
 
Mie Simba lakini Kichuya sio yule wa msimu ulioliopita. Mchezaji atakaeitesa sana ngome ya Yanga ni Dilunga kama atakuwa fit kucheza siku hiyo.

 
Tayari mna matokeo mfukoni. Tunahofia viti vya mchina. Pona ya mikia ni sare, vinginevyo ni kipigo cha paka mwizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…