Simbachawene aagiza kukamatwa kwa Askari 5 wa Uwanja wa JNIA kwa uhalifu wa kusafirisha binadamu

Fact ya kunyanyaswa sio kigezo Cha kuzuia watu kutafuta maisha, Kama ni hivyo tuanze kuzuia watokao vijijini wanaokuja mijini kunyanyaswa na wake zetu hawa wasiojitambua na kuheshimu utu wa mtu.
Tumeshuhudia wakiwatukana,
Kuwapiga
Kuwabagua,
Kuwazulumu mishahara
Kuwanyima haki za ibada
Kuwaumiza kisaikolojia stress zote za familia ubebeshwa wao.
Mimi naona sisi waswahili ndo tunawanyanyasa Sana madada wa Kazi kuliko hata huko arabuni.
 
Tumeshindwa wapa ajira nchini, tuexport nje wakapate ajira nje,kama China inavyowaexport watu wake nje kusaka pesa kuijenga china
 
Mpaka waziri kuliongelea hilo ujue kaoewa taarifa so siyo kila kitu viongozi wanakuruouka ndugu, sometime tukubali/tuheshimu ulichoAndika hapo taaluma za watu.
 
Mpaka waziri kuliongelea hilo ujue kaoewa taarifa so siyo kila kitu viongozi wanakuruouka ndugu, sometime tukubali/tuheshimu ulichoAndika hapo taaluma za watu.
haliwezi kuwa jambo lenye ukweli hili.

kama umeshawahi kuchunguza hata taarifa za jambo fulani la kiusalama zikiwa hazijakamilika utasikia kanda wa polisi mkoa husika anatamka wazi,(uchunguzi bado unaendelea).
ni kosa kubwa rpc kutoa taarifa ambazo hazijathibitishwa,maana tamko lake ni sehemu ya mwenendo wa kesi au maamuzi fulani.

eneo la tukio la ajali ya moto wanafika askari wote kwa wakati mmoja,inapokwenda kuwasilishwa hakuna ripoti zinaachwa nyuma,waziri nayeye ni mtu kama walivyo kina kangi au makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…