Yeah, maana bila wao sasa hivi dar ingekua kama gomaMalipo ya kazi waliyofanya Oktoba 29-31
hao polisi wa Mitandaoni ndio wanaiba simu mara ya pili! wakishajua simu yako ya bei wanafatilia halafu wanabeba waoWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya kiuhalifu, ikiwemo uhalifu wa mitandaoni.
Ametoa rai hiyo wakati akizungumza na Maofisa, Wakaguzi, Askari wa Renk na Faili wa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar pamoja na mikoa mitatu ya Unguja.
Amna' Kuna kauli aliitoa week iliyopita kuhusu nafikiri ni Maandamano akasema kaagizwa na Anayemuita Rais, ile kauli kuwa kaagizwa haikuwa sahihi....Daah posho na maslahi ya wasizwa imemla kichwa Jamaa..
Kazi ipo huko kila mtu anaonekana adui..Amna' Kuna kauli aliitoa week iliyopita kuhusu nafikiri ni Maandamano akasema kaagizwa na Anayemuita Rais, ile kauli kuwa kaagizwa haikuwa sahihi....
Next time akumbuke kuepuka kuongea ongea hovyo