Simbachawene, kabla hujaapishwa huko kwingine tuambie yalikoishia Maagizo yako ya kumkamata Nabii Mwingira

Simbachawene, kabla hujaapishwa huko kwingine tuambie yalikoishia Maagizo yako ya kumkamata Nabii Mwingira

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni vema viongozi tukajifunza kumalizia yale tuliyoyaanzisha kwenye maeneo tuliyotoka kabla ya kuhamia kwingine.

Mtukufu Simbachawene kwa kishindo kikuu, ulitoa maagizo kwamba Mtume na Nabii Mwingira atafutwe Popote alipo na ahojiwe kuhusiana na kauli zake kuhusu kunusurika kuuawa mara 3 na serikali ya Tanzania kwa maagizo kutoka juu, jambo lililoitikiwa kwa kishindo na RPC wa kanda Maalum aliyetoa masaa 24 kwa Mwingira kujisalimisha au kusakwa, sasa kwa bahati mbaya kabla hatujapewa taarifa yoyote umehamishwa wizara.

Nakuomba kabla haujaapishwa huko kwingine tueleze yaliyojiri kuhusu Sakata hili.

Natanguliza Shukrani.
 
Yaani hili umepitwa nalo kweli?

Mambo yalikwishamilizwa kitambo tu.

Ulitumika ule msemo wa "there were some misunderstandings".

Mambo yakesha na kazi yaendelea.
 
Uwenda wamejidhisha kuwa nikweli alifanyiwa hivyo vitendo
 
Back
Top Bottom