Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Ni porojo kwa sababu hata hizi card moja moja zinawashinda ije kuwa ku-combine kila kitu? Hii inatakiwa technology na infrastructure ya uhakika sana.porojo tu na kupiga ela!
Mradi Mpya!!!
kinachofanyika hapo ni kuhalalisha ule muungano wa siri uliopo kati ya Nida kadi na kitamburisho cha mpiga kura. Ili kama ulivyofichuliwa sasa uwe kihalaliNi porojo kwa sababu hata hizi card moja moja zinawashinda ije kuwa ku-combine kila kitu? Hii inatakiwa technology na infrastructure ya uhakika sana.